Waziri
wa Ardhi na Makazi Profesa Anna Tibaijuka akitoa mchango wake katika
Mada ya Ushirikiano wa Vijana katika vyama vya Siasa Kimataifa wakati wa
Kongamano la Tathmini ya Miaka 13 ya Utekelezaji wa Sera Mpya ya Mambo
ya Nje -Diplomasia ya Uchumi , Mafanikio na Changamoto lililofanyika
kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam,Julai 5.2014.
Mwakilishi
wa Mgeni Mualikwa Balozi Joseph Sokoine akizungumza na Vijana
waliohudhuria Kongamano la Tathmini ya Miaka 13 ya Utekelezaji wa Sera
Mpya ya Mambo ya Nje -Diplomasia ya Uchumi , Mafanikio na
Changamoto,upande wake wa kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es
Salaam Ndugu Ramadhani Madabida na kushoto kwake ni Mwenyekiti wa CCM
Tawi la Chuo cha Diplomasia Dk.Telephory Kyaruzi,Kongamano hilo
lilifanyika kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam,Julai
5.2014.(Balozi Joseph Sokoine alimuwakilisha Waziri wa Mambo ya Nje
Mheshimiwa Bernard Membe ambaye alikuwa na hudhuru)
Wadau
wakifuatilia kwa makini michango ya Mada zinazotolewa wakati wa
Kongamano la Tathmini ya Miaka 13 ya Utekelezaji wa Sera Mpya ya Mambo
ya Nje -Diplomasia ya Uchumi , Mafanikio na Changamoto lililofanyika
kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam,Julai 5.2014.
Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam akizungumzia suala la kukuza na kuendeleza
Umoja wa Afrika na kukuza Umoja wa Kiuchumi ikiwa pamoja na kuunga
mkono sera ya kutofungamana na upande wowote na kuwataka Vijana wasomi
kusimamia na kuchangia maoni yao katika upatikanaji wa Itikadi ya nchi.
Mtumishi
wa Mungu Askofu Isaya Joseph akifuatilia kwa makini Mada mbali mbali
wakati wa Kongamano la Tathmini ya Miaka 13 ya Utekelezaji wa Sera Mpya
ya Mambo ya Nje -Diplomasia ya Uchumi , Mafanikio na Changamoto
lililofanyika kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam,Julai
5.2014.







Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...