Waziri wa Fedha, Mh. Saada Mkuya akizungumza na Waandishi wa habari wakati wa ufunguzi wa mkutano wa siku 3 wa majadiliano ya masuala ya kodi Afrika uliofanyika jijini Arusha jana katika hotel ya naura spring.
Waziri wa fedha Saada mkuya akijadiliana jambo na rais wa kituo cha kimataifa cha ukusanyaji kodi na uwekezaji Daniel Witt wakati wa mkutano wa siku 3 wa majadiliano ya masuala ya kodi Afrika uliofanyika jijini Arusha jana katika hotel ya naura spring.
Waziri wa Fedha,Mh. Saada Mkuya katikati akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TRA,Bw. Rished Bade (wa tatu kulia) na Dr. Jeffrey Owens mtaalam mshahuri wa kodi na mhadhiri chuo kikuu cha uchumi na biashara Viena (kushoto) wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wadau walioshiriki kwenye mkutano hio mara baada ya waziri kufungua mkutano wa majadiliano ya masuala ya kodi unaofanyika jijini Arusha katika hotel ya Naura spring.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...