Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 – 21, yametoka. Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825.

Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54
Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.

SHULE 10 ZILIZOONGOZA
1. Igowole
2. Feza Boys
3. Kisimiri
4. Iwawa
5. Kibaha
6. Marian Girls
7. Nangwa
8. Uwata
9. Kibondo
10. Kawawa

SHULE 10 ZA MWISHO
1. Ben Bella
2. Fidel Castro
3. Tambaza
4. MuhezaHigh School
5. Mazizini
6. Mtwara Technical
7. Iyunga technical
8. Al- falaah Muslim
9. Kaliua
10. Osward Mang'ombe
MATOKEO KIDATO CHA 6: 95.98% wafaulu kidato cha 6 kutoka 87.9% mwaka jana. Tambaza ndani ya shule 10 za mwisho, K/Katibu Mtendaji Necta C. Msonde atangaza leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 16, 2014

    He!! Mambo yenda yakibadilika. Siku hizi Tambaza A-level ni ya mwisho?? Siamini!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2014

    Shule niliyosoma Tambaza ilikuwa inakuwa ya kwanza mpaka tatu, miaka ya 80`s jamani kwa sasa wanafeli mpakasio rahisi kuamini! Mdau hapo juu tupo wote kutoamini!

    ReplyDelete
  3. Hongera sana na pongezi za dhati kwa walimu, wanafunzi na uongozi mzima wa shule ya sekondari ya Kibondo. Nakumbuka mwanzo ulikuwa mgumu kitaaluma once ilipoanzishwa 'A-level' shuleni hapo, in 1994. Lakini kwa kadri miaka ilivyokuwa ikisonga mbele, kulionekana kuwepo kwa matumaini na maendeleo kitaaluma, hadi leo hii kuwa katika kumi bora ni jambo la fakhari na kujivunia sana. Congratulations and keep it up!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 17, 2014

    Nini kimezikuta shule za serikali mpaka zinakua za mwisho.Siamini shule kama Tambaza na Iyunga kuwa za mwisho.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 17, 2014

    Walioshinda hongera waliojikuta hawakufaulu mjipange kusuma gurudumu la maisha mbele..

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 18, 2014

    TAMBAZA KWELI SIAMINI

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 23, 2014

    Du!! Tambaza!! PCM, PCB ndiko tulikokuwa tunategemea. Du!! I cann't speak anything.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...