Mfahamu mwanamitindo maarafu wa kiwango cha kimataifa Herieth Paul,
ambaye ni raia wa Tanzania aneyeishi nchini Canada.
Mwanamitindo huyu
mwenye umri wa miaka 18 anafanya shughuli zake jijini New York Marekani,
London Uingereza na Milan Italia.
Amesaini mkataba wa vipodozi na
kampuni maarufu duniani ya Calvin Klein na ametokea katika kurasa mbele
za majarida mashuhuri mbalimbali kama Elle Magazine, Teen Vogue na
VogueItalia.
Huyu dada yupo juu sana. Big up Herieth and Big up to Bongo!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteKazana dada endelea kufanya kazi kwa ubora na ufanisi, una muda mrefu wa kufanya menge katika ubunifu wa mitindo. Nakupongeza dada kwa juhudi zako, kuwa na mipango na kuthubutu.
ReplyDeleteWow- she is a beauty.
ReplyDeleteElegant, she is a meaning of beauty
ReplyDelete