MSANII WA VICHEKESHO MASANJA
MKANDAMIZAJI AKIELEZA SABABU ZA KUTOTAMANI KWENDA KWA BABA LICHA YA
KWAMBA AMEOKOKA NA KUMPENDA YESU. VIDEO IMEPIGWA NA DIXON BUSAGAGA WA
GLOBU YA JAMII KANDA YA KASKAZINI.
Home
Unlabelled
MSIKILIZE MASANJA MKANDAMIZAJI ETI HATAMANI KWENDA MBINGUNI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MASANJA MKANDAMIZAJI AKILI YAKE NI KAMA YANGU, HATA MIMI NASEMA MIMI NAMPENDA MUNGU NA NATAMANI KUMWONA LAKINI SIO SASA NIKAEKAE KWANXA HAPA DUNIANI.
ReplyDeleteHapo anaigiza sio kwamba amemaanisha
ReplyDeletehapo alikuwa anaigiza tu sio kwamba amemaanisha kabisa...
ReplyDeleteBig up Masanja ww ni mchambuzi mzuri wa Bible umeongea point walio
ReplyDeletemba kwa kuimba Mungu akawajibu.