Padz Hotel ni kiota kipya kilichoota maeneo ya Forest kwenye Barabara Kuu ya Tanzania-Zambia, jirani na Chuo cha Mzumbe Univeristy, dakika kadhaa toka Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Songwe na katikati ya Jiji la Mbeya. 
Alama yake kuu ukitokea Songwe ni bendera za Tanzania na Marekani kwa nje na mjengo wa kioo tupu. Pazuri, huduma bomba msosi ndio usiseme. Na bei ni ya kiwandani...Kuwasiliana nao piga +255252500635 ama +255759851439 na +255652319139 ama email info@padtzhotel,com na pia nenda www.padzhotel.com



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 15, 2014

    Hapo ndo tunaposema ni muhimu sana kusoma Kiswahili shuleni, watu wangeelewa ushauri huu Kiswahili kisinge pinda kama kilivyo pinda kwenye bango hilo.
    HATUSEMI;"jengo hili la padz hotel Imefunguliwa na mkuu wa mkoa wa Mbeya"hapana.
    BADALA YAKE TUNASEMA; "Jengo hili la padz hotel Limefunguliwa na mkuu wa mkoa wa Mbeya"
    Kwahiyo katika Kiswahili KITENZI Kufunguliwa kinatakiwa kiangalie kielezi "JENGO HILI" na sio kuangalia NOMINO "hOTEL" hapana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...