Mbunge wa Kigamboni na Mwakilishi wa Bara la Afrika katika Taasisi ya Kimataifa ya UKIMWI duniani (International AIDS Society), Dkt Faustine Ndugulile (MB) akipiga picha ya "Selfie" na Bibi Hellen Clarke, Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya UNDP na Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zealand baada ya kikao cha pamoja cha Wabunge wa mabara mbalimbali kilichofanyika tarehe 21.07.2014 huko Melbourne, Australia.
Dkt Ndugulile MB akipiga picha ya "selfie" na mkurugenzi mkuu wa UNAIDS, Dkt Michel Sidibe.
Huu mkutano ulikuwa uwe na wataalamu wa juu kabisa wa utafiti wa dawa ya kuponya UKIMWI lakini wote wameuwa kwenye ile ndege ya Maylasia Airline kule Ukraine. Dunia imerudi nyuma kwenye huu utafiti.
ReplyDelete