Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan S. Kaganda leo tarehe 08.07.2014 akiongea na waandishi wa habari na kutoa ufafanuzi juu ya mambo mbalimbali ikiwemo kukamatwa kwa wahamiaji haramu 17 kutoka nchini Burundi
 Sehemu ya wahamiaji haramu 17 kutoka nchini Burundi wakiwasili kituo cha kati Tabora
Mmoja wa wahamiaji haramu 17 kutoka nchini Burundi akiongea na wanahabari

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2014

    Hawa ni wenzetu. Ndio maana watanzania tunatengwa na wenzetu kutoka EAC.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2014

    Mdau wa kwanza hapo juu..ivi wafahamu kwamba iwapo wangefuata utaratibu wasingekutwa na hayo yaliyowakuta??????? ni kweli sisi wamoja ila kwa kufuata utaratibu...

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 09, 2014

    Duuh sasa mnawakamata hawa wa nini? watu maskini hawa ni wa kusaidia tuu..sana sana wanatafuta vibarua tuu na chakula hao lakini majambazi wote wana passport ingawaje ndio wahamiaji haramu,naona polisi mmekosa kazi hapo,waacheni waende zao hao

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...