Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan S. Kaganda leo tarehe 08.07.2014 akiongea na waandishi wa habari na kutoa ufafanuzi juu ya mambo mbalimbali ikiwemo kukamatwa kwa wahamiaji haramu 17 kutoka nchini Burundi
Sehemu ya wahamiaji haramu 17 kutoka nchini Burundi wakiwasili kituo cha kati Tabora
Mmoja wa wahamiaji haramu 17 kutoka nchini Burundi akiongea na wanahabari
Hawa ni wenzetu. Ndio maana watanzania tunatengwa na wenzetu kutoka EAC.
ReplyDeleteMdau wa kwanza hapo juu..ivi wafahamu kwamba iwapo wangefuata utaratibu wasingekutwa na hayo yaliyowakuta??????? ni kweli sisi wamoja ila kwa kufuata utaratibu...
ReplyDeleteDuuh sasa mnawakamata hawa wa nini? watu maskini hawa ni wa kusaidia tuu..sana sana wanatafuta vibarua tuu na chakula hao lakini majambazi wote wana passport ingawaje ndio wahamiaji haramu,naona polisi mmekosa kazi hapo,waacheni waende zao hao
ReplyDelete