MZEE EDWARD ELIEZER NDALAMA
Dkt Edmund N. Eliezer anasikitika kutangaza kifo cha Baba yeke Mzazi Mzee Edward Ndalama kilichotokea Tr. 6 Julai 2014 Katika Hospitali ya Muhimbili,Dar Es Salaam.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa Dkt(s) Edmund Ndalama, Kunduchi-SEAMIC street, Plot No 390/3. Dar Es Salaam.Ratiba ya Mazishi itatangazwa rasmi kesho.
Pia kwa walio Uingereza, Msiba upo South hall West End RD, Ub1 1JQ nyumbni kwa Mr a& Mrs J.Nyoni.
Simu +442085848640.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe.
AMEN
pumzika kwa amani ,babu yangu kipenzi.
ReplyDeleteRip babu
ReplyDelete