MZEE EDWARD ELIEZER NDALAMA

Dkt Edmund N. Eliezer  anasikitika  kutangaza kifo cha Baba yeke  Mzazi Mzee Edward Ndalama kilichotokea Tr. 6 Julai 2014 Katika Hospitali ya Muhimbili,Dar Es Salaam.

Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa Dkt(s) Edmund Ndalama, Kunduchi-SEAMIC street, Plot No 390/3. Dar Es  Salaam.Ratiba ya Mazishi itatangazwa  rasmi kesho.

Pia kwa walio Uingereza, Msiba upo South hall West End RD, Ub1 1JQ nyumbni kwa Mr a& Mrs J.Nyoni.
Simu +442085848640.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe.
AMEN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...