Katika kuelimisha umma wa Watanzania ni nani waliopo kwenye "Cultural Wars" tumeanza kutoa maelezo ya waigizaji ili watu waone kuwa Movie hii ni serious movie. 


Ili kuwajua BOFYA HAPA

Jipatie DVD kupitia:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 16, 2014

    Mambo si hayo! Leteni burudani vijana.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 16, 2014

    Leteni Filamu Bongo tununue. Wengine hatuna kadi za Benki za kununua kutoka unyamwezini. Naona filamu nzuri na waigizaji watanashati. Ubora wa filamu hii unaonekana kabla hata sijainunua. Trailer yake tu Bomba!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...