

Katika kuelimisha umma wa Watanzania ni nani waliopo kwenye "Cultural Wars" tumeanza kutoa maelezo ya waigizaji ili watu waone kuwa Movie hii ni serious movie.
Ili kuwajua BOFYA HAPA
Jipatie DVD kupitia:
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mambo si hayo! Leteni burudani vijana.
ReplyDeleteLeteni Filamu Bongo tununue. Wengine hatuna kadi za Benki za kununua kutoka unyamwezini. Naona filamu nzuri na waigizaji watanashati. Ubora wa filamu hii unaonekana kabla hata sijainunua. Trailer yake tu Bomba!
ReplyDelete