Alvin akivisha pete Susan kwenye harusi yao iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 2, 2014 kwenye ukumbi wa Noah's uliopo Fairview ma kuhudhuriwa ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila kona ya Dunia.
Susan akimvisha pete Alvin kwenye harusi yao iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 2, 2014 kwenye ukumbi wa Noah's uliopo Fairview ma kuhudhuriwa ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila kona ya Dunia.
Maharusi wakichum baada kufunga ndoa yao.
Maharusi wakitoka nje baada ya ndoa yao kumalizika kuelekea kupata ukodak moment kwa ajili ya kumbukumbu yao ya siku hii maalum kwao na katika maisha yao.
Kwa picha zaidi bofya hapa
Harusi hii ilikuwa nzuriii kuliko hiyo royal wedding. .ni bora wangekaa kimya bila kusema royal wedding! !! Ni aibu tupuu
ReplyDelete