
Askari feki wa Usalama Barabarani ambae Jina lake halikufahamika haraka akiwa chini ya Ulinzi mkali wa Askari Polisi (hayupo pichani) mara baada ya kukamatwa kwa kujifanya ni askari wa usalama barabarani huku akifahamu kuwa ni kosa kisheria. Inasemekana Mtuhumiwa aliwahi kuwa askari wa Usalama barabarani ambapo kituo chake cha Kazi kilikuwa Mkoa wa Pwani na ni mmoja kati ya askari waliofukuzwa kazi kwa kuenda kinyume na taratibu na sheria za Jeshi la Polisi Tanzania

Askari Polisi ambae jina lake halikufahamika mara moja (Mwenye sweta) akimkamata kwa makini mtuhumiwa aliyejifanya askari wa usalama barabarani leo katika eneo la Chamazi Jijini Dar Es Salaam

Askari feki akishangaa na kuduwaa mara baada ya jeshi la Polisi Kumtia nguvuni leo Katika Eneo la Chamazi Jijini Dar Es Salaam Mapema leo.Picha Kwa Hisani ya Mdau.
Njaaa jamani nchi haina ajira na watoto wanataka Kula na kusoma muhurumieni tu bora alivyotumia akili yake kuliko kuwa jambazi
ReplyDeleteHapo lazima kuna jambo, si amini kama wanaweza kudhalilishana wenyewe kwa wenyewe namna hii.
ReplyDeleteHii inathibitisha kuwa RUSHWA ni source kubwa ya kipato nchini.Huyu bwana alikuwa hategemei malipo kutoka wizarani bali alijua kwa rushwa maisha yatakwenda.Piga vita rushwa haya yote yatakwisha..
ReplyDeleteMasikini Emmanuel Saif kumbe alikuwa Askari feki dah inasikitisha sana. Nimeshamuona sehemu nyingi ila nakumbuka alikuwa Askari polisi nikashangaa na nikampa hongera baada ya kumuona na nguo za polisi tena trafic
ReplyDeleteAfadhali huyu fake anaibia watu je hao wengine wa halali na wanaibia madereva kwa kuomba rushwa nao inakuwaje maana wote ni wizi tu
ReplyDeleteLaiti kama Askari wasingekuwa wanataka rushwa ambayo ndio inayowashawishi kuwa askari feki...Kusingekuwa hivi....RUSHWA NI TATIZO KUBWAA....TAKUKURU ipo ila haifanyi kazi kabisa ipo tuu kula hela za wananchi
ReplyDeleteHuyo jamaa askari wa barabarani namfahamu kaka kwa jina moja anaitwa Emmanuel, nilikua nae Makongo enzi hizo , alinitangulia darasa , alisha nitosa mimi na washikaji kadhaa akiwa kiranja akidai tume mtukana kua yeye shoga, kumbe alikua shoga kweli na alimtaka jamaa yetu anaitwa methew protas muchwampaka , alikua motto wa Ticha muchwampaka pale makongo , kweli nilisha muona na uniform pale Mwenge ila nine shangaa cheo kupanda kwa kasi hivyo , baadae alikua kibaha pale stand na kiukweli ana tabia za kishoga tangu tukiwa sekondari , huyo mwenzetu muchwampaka alituthibitishia hivyo .....sasa Sijui alifukuzwa na kwa kosa gani ....makonda wa Mwenge wana mjua kwa unoko wake na hako katabia kengine
ReplyDelete