Home
Unlabelled
BIASHARA MATANGAZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Usicheke huu ni msiba mkubwa....unaotukabili kutokana na uvivu wa kusoma taarifa mbali mbali....nayasema haya kwakua na hakika mwenye ofisi hii angekua msomaji wa magazeti tena walau ya udaku angekutana na uandishi usahihi wa maneno kama twitter na whatsup........Mchoraji mara nyingi hupewa kitu kilichoandaliwa na muhusika....japo wakati mwengine hupewa dhamana kubwa ya kubuni maneno....hivyo hapa yawezekana ni kosa la wote wawili...
ReplyDeletewasanii mmekwisha nyimbo zenu zinaingizwa kwenye mlio ya simu,pia
ReplyDeletewa burn CD kazi kwenu
Shida ni nini hapo? Katumia lugha yake anayoifahamu wala hakutaka utumwa kanakwamba kuna mtu anakuja kucheki spell check. This is nice for me no preshaa. Bigup sana maana mwandiko bomba kabsaa
ReplyDeleteeaster gramm ndo nini
ReplyDeletemtandao mpya au anamanisha pasaka
sasa anon wa kwanza hapo juu uliyosema ni sahihi lakini nami ngoja nikusahihishe kiswahili chako:
ReplyDeleteIlitakiwa uandike hivi kwa kiswahili fasaha:
..........................
Usicheke huu ni msiba mkubwa....unaotukabili kutokana na uvivu wa kusoma taarifa mbalimbali....nayasema haya kwa kuwa na hakika mwenye ofisi hii angekuwa msomaji wa magazeti tena walau ya udaku angekutana na uandishi uliosahihi wa maneno kama twitter na whatsapp........Mchoraji mara nyingi hupewa kitu kilichoandaliwa na mhusika....japo wakati mwingine hupewa dhamana kubwa ya kubuni maneno....hivyo hapa yawezekana ni kosa la wote wawili...
----------------------------------
Ni hayo tu, inatakiwa tusaidiane.
Asante:
Ni mimi Mswahili
Haiwi baadhi ya wahariri na waandishi wa khabari hukosea na tukasoma hivyo hivyo almuradi kuelewa kilichokusudiwa, kwa mithili hiyo, hata hapo naamini ujumbe umefika kwa walengwa na umeeleweka. Japokuwa kuna makosa mawili matatu ya hapa na pale, daima tunajifunza kutokana na makosa.
ReplyDelete