Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Usicheke huu ni msiba mkubwa....unaotukabili kutokana na uvivu wa kusoma taarifa mbali mbali....nayasema haya kwakua na hakika mwenye ofisi hii angekua msomaji wa magazeti tena walau ya udaku angekutana na uandishi usahihi wa maneno kama twitter na whatsup........Mchoraji mara nyingi hupewa kitu kilichoandaliwa na muhusika....japo wakati mwengine hupewa dhamana kubwa ya kubuni maneno....hivyo hapa yawezekana ni kosa la wote wawili...

    ReplyDelete
  2. wasanii mmekwisha nyimbo zenu zinaingizwa kwenye mlio ya simu,pia
    wa burn CD kazi kwenu

    ReplyDelete
  3. Shida ni nini hapo? Katumia lugha yake anayoifahamu wala hakutaka utumwa kanakwamba kuna mtu anakuja kucheki spell check. This is nice for me no preshaa. Bigup sana maana mwandiko bomba kabsaa

    ReplyDelete
  4. easter gramm ndo nini
    mtandao mpya au anamanisha pasaka

    ReplyDelete
  5. sasa anon wa kwanza hapo juu uliyosema ni sahihi lakini nami ngoja nikusahihishe kiswahili chako:

    Ilitakiwa uandike hivi kwa kiswahili fasaha:
    ..........................
    Usicheke huu ni msiba mkubwa....unaotukabili kutokana na uvivu wa kusoma taarifa mbalimbali....nayasema haya kwa kuwa na hakika mwenye ofisi hii angekuwa msomaji wa magazeti tena walau ya udaku angekutana na uandishi uliosahihi wa maneno kama twitter na whatsapp........Mchoraji mara nyingi hupewa kitu kilichoandaliwa na mhusika....japo wakati mwingine hupewa dhamana kubwa ya kubuni maneno....hivyo hapa yawezekana ni kosa la wote wawili...

    ----------------------------------

    Ni hayo tu, inatakiwa tusaidiane.
    Asante:

    Ni mimi Mswahili

    ReplyDelete
  6. Haiwi baadhi ya wahariri na waandishi wa khabari hukosea na tukasoma hivyo hivyo almuradi kuelewa kilichokusudiwa, kwa mithili hiyo, hata hapo naamini ujumbe umefika kwa walengwa na umeeleweka. Japokuwa kuna makosa mawili matatu ya hapa na pale, daima tunajifunza kutokana na makosa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...