“Kwa wanaDMV: Inaelekea kumebakia suitafahamu au tafsiri fulani kuhusu matokeo ya uchaguzi wa DMV 2014 kufuatia takwimu za kura tulizotoa na kuwasilisha kwa bodi ya DMV.
Tamko hili linaweka wazi mshindi katika kila nafasi iliyogombaniwa. Hivyo kwa mujibu wa matokeo ya kura na wa katiba, wafuatao ndiyo viongozi wapya wa jumuia yetu kwa miaka miwili ijayo:
Tamko hili linaweka wazi mshindi katika kila nafasi iliyogombaniwa. Hivyo kwa mujibu wa matokeo ya kura na wa katiba, wafuatao ndiyo viongozi wapya wa jumuia yetu kwa miaka miwili ijayo:
RAIS- Iddy Sandaly
MAKAMU WA RAIS - Harriet Shangarai
KATIBU- Saidi Mwamende

MAKAMU WA KATIBU- Bernadetta Kaiza
MWEKA HAZINA- Jasmine Rubama
Tamko hili pia limefikisha Kamati ya Uchaguzi wa 2014 kwenye tamati yake.
Mungu ibariki DMV, na adumishe mshikamano imara wa Watanzania.”
Safari Ohumay
Mwenyekiti
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...