![]() |
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akiwa na rais wa Nigeria Goodluck Jonathan . |
![]() |
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akiwa na Waziri mkuu wa Mauritius, Ramgoolam. |
![]() |
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akiwa na rais wa Uganda Yoweri Mseveni . |
![]() |
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akiteta jambo na Seneta Christopher Coons ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya Bunge la Marekani anayesimamia maswala ya Afrika. |
![]() |
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akiteta jambo na Balozi Suzan Rice ,mshauli wa Rais Obama maswala ya Usalama.. |
![]() |
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akiwa na rais wa Jamuhuri ya Demokrasia ya Congo,Joseph Kabila. |
Hongera kwa kufika hapo ulipo. Swali langu kwako je ni CHADEMA nikimaanisha ni pesa za Ndesa Mburo (Ndesa pesa) ndo waliokupeleka huko ama ni pesa za walipa kodi yaani Serikali.
ReplyDeleteMbunge huyu connection zake hazija chacha mpaka marais.
ReplyDeleteKijana fotoalbamu yako itanona!!
ReplyDeleteAma kweli Tanzania tuna Utawala Bora wa kweli!
ReplyDeleteSio raisi kwa nchi nyingi za dunia ukianzia ktk eneo letu la Afrika ya Mshariki kuwa na Kiongozi kama Mbunge mwenye umri mdogo kama Mhe. Joshua Nassari!
Hapo hata babu Museveni amekoma!, mzee mzima Kaguta anashuhudia dogo Joshua (TENA KUTOKA UPINZANI) akiwa mjengoni na Maraisi wa Afrika huko kwa Obama, hapo ndio watajifunza ya kuwa Watanzania siasa tunazaliwa nayo na sio kuipatia msituni kwenye Majeshi ya Uasi.
M-7 anakaribia nusu Karne akiwa Ikulu wala hata dalili za kung'atuka hana na yule bwana mkubwa wa Kigali!
Mh Huyu anajitahidi
ReplyDelete