Home
Unlabelled
Msanii Kala Jeremiah ndani ya kipindi cha MAWAZOHURU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huku nilipo UK, kila sehemu wanalafidhi yao na Ukiingia ndani zaidi hasa sehemu za Weles wanajivunia lugha yao na siyo kiingereza, hapo sijasema kuhusu Scotland.
ReplyDeletePili nimetembelea nchi nyingi za ulaya, wanajivunia lugha zao.Sasa vp sisi Watanzania.
Kiingereza ni lugha kama lugha nyingine, hivyo sidhani kuongea kiingereza kutafanya uonekane msomi.
Kwa sasa tunao ishi Ughaibuni tunamwona huyu mtangazaji hana nia ya kukuza lugha yetu ya Kiswahili.
Kidumu KISWAHILI maramilele.
Na nasikitika sana na baadhi ya waandishi wa habari wa huko nyumbani, kuwa na utumwa wa kiakili kilugha.
Haina haja kuzungumza kiswahili kuchanganya kiingereza. Tujivunie lugha yetu ya Kiswahili. Huyu mtangazaji nahisi hajui kanuni za uhandishi wa habari.
Ngoja nimkumbushe ''Moja ni lugha.''
Ukichanganya lugha unapotosha maana na utamu wa ujumbe nk.
Ni ufinyu wa utambua kwa kuchanganya lugha.