Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele (kulia ) akizungumza na balozi wa China nchini Tanzania Dr. LU Youqing (kushoto) aliyemtembelea ofisini kwake leo kwa ajili ya maandalizi ya kongamano la China – Afrika linalotarajiwa kufanyika mkoani Arusha, Tanzania mapema Machi, 2015.
Balozi wa China nchini Tanzania Dr. LU Youqing (kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele (kulia) juu ya hatua iliyofikiwa ya maandalizi ya kongamano hilo.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele (kulia ) na Balozi wa China nchini Tanzania Dr. LU Youqing (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kikao hicho.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kwa wakati fupi, nilifurahi sana kusoma kwamba waChina wameichagua nchi yetu ku-host mkutano huu. Mi nilifikiri mkutano huu ni ule wa viongozi wote wa bara la Afrika - sawa na aliyoifanya Rais Obama hivi karibuni. Lakini, ule mkutano - FOCAC [Forum on China–Africa Cooperation]; mkutano huu wa sita utafanyika mjini Jozi nchini Afrika Kusini mwishoni mwa 2015.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...