Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele (kulia ) akizungumza na balozi wa China nchini Tanzania Dr. LU Youqing (kushoto) aliyemtembelea ofisini kwake leo kwa ajili ya maandalizi ya kongamano la China – Afrika linalotarajiwa kufanyika mkoani Arusha, Tanzania mapema Machi, 2015.
Balozi wa China nchini Tanzania Dr. LU Youqing (kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele (kulia) juu ya hatua iliyofikiwa ya maandalizi ya kongamano hilo.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele (kulia ) na Balozi wa China nchini Tanzania Dr. LU Youqing (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kikao hicho.
Kwa wakati fupi, nilifurahi sana kusoma kwamba waChina wameichagua nchi yetu ku-host mkutano huu. Mi nilifikiri mkutano huu ni ule wa viongozi wote wa bara la Afrika - sawa na aliyoifanya Rais Obama hivi karibuni. Lakini, ule mkutano - FOCAC [Forum on China–Africa Cooperation]; mkutano huu wa sita utafanyika mjini Jozi nchini Afrika Kusini mwishoni mwa 2015.
ReplyDelete