Sikiliza ngoma ya kutia huzuni ya "Rote Rote Hasna Seekho" katika filamu ya "Andhaa Kanoon"
Nyota
wengine kwenye filamu hii walikuwa Pran, Danny Denzongpa, Amrish Puri, Madan Puri, Prem Chopra
na Asrani.Dharmendra. Ilikuwa filamu
iliyopigwa upya kufuatia ile ya mwaka 1981 ya kutoka Tamil ya Sattam Oru
Iruttarai iliyochezwa na Vijayakanth
Ngoma za filamu hii za "Rote Rote Hasna Seekho" na "Andhaa Kanoon" si mchezo.
Mie umenikumbusha...Uliokua ukumbi maarufu wa Sinema magomeni kagera maarufu kama Milano...sehemu ambapo tulikua tukienda tazama picha, kwa wakati huo picha za kihindi kipindi hiko zilikua zenye kutamba.........
ReplyDelete