Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria kufungua kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 22, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete pamoja na
Wabunge Mhe Abdul Mketeme (kushoto) na Mhe Getrude Rwakatale (kulia)
wakifunua pazia kwa pamoja kuashiria kufungua kituo cha Afya cha Kibaoni
Morogoro vijijini Agosti 22, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea akikagua wodi mpya ya kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 22, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa maeneo mbali mbali ya kituo cha
Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini baada ya kukifungua Agosti 22, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wazazi baada ya kufungua
kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 22, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na
watendaji wa kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 22,
2014.PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...