Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda (kulia) ambaye ni mlezi wa kikundi cha Wake waViongozi (NEW MELLENIUMWOMEN GROUP) akimsikiliza kwa makini Mama Maria Nyerere wakati walipo mtembelea nyumbani kwake kwa ajili yakumjulia hali pamoja na kumpatia zawadi mbalimbali kutokana na mchango wake mkubwa aliokuwa anampa Baba wa Taifa ambao ulisaidia kuleta amani utulivu na maendeleo ndani ya nchi na nje ya Tanzania.
Mama Maria Nyerere na MamaTunu Pinda wakiangali picha zao walizo pigwa na Mama Othmani kwenye simu ya kiganjani wakati kikundi cha wake wa viongozi (NEW MELLENIUMWOMEN GROUP) walipo mtembelea Mama Nyerere nyumbani kwake Msasani kumjulia hali.
Kikundi cha wake wa viongozi wakiwa katika picha ya pamoja na Mama Maria Nyerere walioketi (katikati) Mama Tunu Pinda Mama (wa pili kushoto walioketi) Mama Regina Lowasa (kushoto) Mama Sophia Kawawa (wa pili kulia walioketi) akifuatiwa na Mama Sumaye.Picha na Chris Mfinanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongereni. Sana kwa kumtembelea Mama Maria Nyerere. Ila kama kumbukumbu zangu zipo sahihi Mama Sophia Kawawa hutupo naye tena. Unless Mheshimiwa Kawawa alimuoa Mama mwingine ambaye jina lake pia ni Sophia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...