Abiria wakitokea Bagamoyo kuelekea Msata mkoa wa Pwani...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hawa wakikutwa na trafiki waulizwe kwa nini wwanakaa sehemu ya mizigo wakati hii siyo hata gari ya aina ya pick up.

    ReplyDelete
  2. usafiri mgumu, hakuna mabasi yanayoenda huko mara kwa mara. Haya ndio matatizo sasa.

    ReplyDelete
  3. Mtoa mada wa kwanza....nadhani ungewaangalia kwanza watu wenyewe na kuleta fikra kabla ya kutoa maoni .......nina hakika ktk hali ya kawaida wasingekubari kukaa hapo walipo ila nashawishika kuamini hawakua na jinsi.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...