Ankal akiwa na wapiganaji Max (kushoto) na Mike wa Jamii Forum kwenye uzinduzi wa ripoti ya Benki ya Dunia Kuhusu Ajira Zenye Tija Tanzania leo katika hoteli ya Hyatt regency kilimanjaro
Wapiganaji wa Jamii Forum Max na Mike wakiwa hewani live kwenye uzinduzi wa ripoti ya Benki ya Dunia Kuhusu Ajira Zenye Tija Tanzania leo katika hoteli ya Hyatt regency kilimanjaro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. out of topick wapendwa wasomaji wa hii glob ya michuzi na akiwepo bwana mkubwa michuzi mwenyewe nimekuwa nikitafuta sana nipate zile nyimbo za maombolezo ya hayati jk nyerere zilenyimbo zoote zilikuwa zinapigwa kipindi choote cha maombolezo ya hayati julias kambarage nyerere jamani mwenye kujua nitawezaje kusikiliza ktk internet nahitaji sana kuliko wakati mwingine wowote wapendwa naombeni msaada wenu mmbarikiwe sana

    ReplyDelete
  2. mdau hapo juu kuna kitu kinaitwa YOUTUBE hebu tembelea utapata mahitaji yako yote.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...