Ankal akiwa na wapiganaji Max (kushoto) na Mike wa Jamii Forum kwenye uzinduzi wa ripoti ya Benki ya Dunia Kuhusu Ajira Zenye Tija Tanzania leo katika hoteli ya Hyatt regency kilimanjaro
Wapiganaji wa Jamii Forum Max na Mike wakiwa hewani live kwenye uzinduzi wa ripoti ya Benki ya Dunia Kuhusu Ajira Zenye Tija Tanzania leo katika hoteli ya Hyatt regency kilimanjaro
out of topick wapendwa wasomaji wa hii glob ya michuzi na akiwepo bwana mkubwa michuzi mwenyewe nimekuwa nikitafuta sana nipate zile nyimbo za maombolezo ya hayati jk nyerere zilenyimbo zoote zilikuwa zinapigwa kipindi choote cha maombolezo ya hayati julias kambarage nyerere jamani mwenye kujua nitawezaje kusikiliza ktk internet nahitaji sana kuliko wakati mwingine wowote wapendwa naombeni msaada wenu mmbarikiwe sana
ReplyDeletemdau hapo juu kuna kitu kinaitwa YOUTUBE hebu tembelea utapata mahitaji yako yote.
ReplyDelete