Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Saaaafi sana

    ReplyDelete
  2. Good hii ndivyo inavyotakiwa,Moto kwa moto.

    ReplyDelete
  3. Hiyo ndio dawa, ukiwaachia watakuua mwenyewe

    ReplyDelete
  4. YES, THAT IS VERY BEAUTIFUL, COME AGAIN ANOTHER DAY.

    ReplyDelete
  5. GOOOOOOOOOOOOOOOD JOB

    ReplyDelete
  6. Wapi hapo? Saaafi Saana... JINO KWA JINO

    ReplyDelete
  7. bodaboda zitolewe mitaani POLISI MPO????????????????????????????????????

    ReplyDelete
  8. Safi sana mkuu ...... uko wapi mwenye gari nikupe zawadi!!!!

    ReplyDelete
  9. YES HII NDIYO DAWA YAO. HAWA BODABODA BORA WAKATAZWE KABISA KUFIKA MJINI AU HATA KUZIPIGA ZIPIGWE MARUFUKU KUINGIA NCHINI. JAMANI NI YA WAPI HII BABU KUBWA.

    ReplyDelete
  10. Very Good. Akuanzae mmalize. Natamani hii clip ingewafikia walengwa. Wakiona inaweza kupunguza kama sio kuwafanya waache uporaji wao ulioota mizizi.

    ReplyDelete
  11. Audhubillah.There must be another solution. We are humans, this is cannibalism.Jicho kwa jicho, jino kwa jino, dunia nzima itajaa vipofu na vibogoyo.

    ReplyDelete
  12. Yani nimekanyaga mguu kwa midadi ya kuwawahi vibaka kama mimi ndio dereva niliyeporwa. Safi sana

    ReplyDelete
  13. mimi ingekuwa amri yangu swala la bodaboda ningelifutia mbali badala ya kuleta nafuu kwa wananchi imeongeza majanga zaidi na zaidi haina unafuu yeyote kwa wananchi badala yake imeongeza ujambazi hilo halina mjadala, na pia ajali inayosababisha vifo na kuwaa wengi wakiwa vilema vya maisha,msongamano barabarani yaani hizi bodaboda nina uchungu nazo ingekuwa mimi Rais ningepiga marufuku haraka sana kabla watu hawajaisha lakini haya yoote yanayosababishwa na hizi bodaboda hakuna wakukemea kila mtu kimya

    ReplyDelete
  14. He? Ne sheeeda!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...