Home
Unlabelled
Balaa mtaani: mporwaji anapopambana na waporaji wa bodaboda...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Saaaafi sana
ReplyDeleteGood hii ndivyo inavyotakiwa,Moto kwa moto.
ReplyDeleteHiyo ndio dawa, ukiwaachia watakuua mwenyewe
ReplyDeleteYES, THAT IS VERY BEAUTIFUL, COME AGAIN ANOTHER DAY.
ReplyDeleteGOOOOOOOOOOOOOOOD JOB
ReplyDeleteWapi hapo? Saaafi Saana... JINO KWA JINO
ReplyDeletebodaboda zitolewe mitaani POLISI MPO????????????????????????????????????
ReplyDeleteSafi sana mkuu ...... uko wapi mwenye gari nikupe zawadi!!!!
ReplyDeleteYES HII NDIYO DAWA YAO. HAWA BODABODA BORA WAKATAZWE KABISA KUFIKA MJINI AU HATA KUZIPIGA ZIPIGWE MARUFUKU KUINGIA NCHINI. JAMANI NI YA WAPI HII BABU KUBWA.
ReplyDeleteVery Good. Akuanzae mmalize. Natamani hii clip ingewafikia walengwa. Wakiona inaweza kupunguza kama sio kuwafanya waache uporaji wao ulioota mizizi.
ReplyDeleteAudhubillah.There must be another solution. We are humans, this is cannibalism.Jicho kwa jicho, jino kwa jino, dunia nzima itajaa vipofu na vibogoyo.
ReplyDeleteYani nimekanyaga mguu kwa midadi ya kuwawahi vibaka kama mimi ndio dereva niliyeporwa. Safi sana
ReplyDeletemimi ingekuwa amri yangu swala la bodaboda ningelifutia mbali badala ya kuleta nafuu kwa wananchi imeongeza majanga zaidi na zaidi haina unafuu yeyote kwa wananchi badala yake imeongeza ujambazi hilo halina mjadala, na pia ajali inayosababisha vifo na kuwaa wengi wakiwa vilema vya maisha,msongamano barabarani yaani hizi bodaboda nina uchungu nazo ingekuwa mimi Rais ningepiga marufuku haraka sana kabla watu hawajaisha lakini haya yoote yanayosababishwa na hizi bodaboda hakuna wakukemea kila mtu kimya
ReplyDeleteHe? Ne sheeeda!!
ReplyDelete