s

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Inna Lillahi Wainna Ilayhi Rajiun. Mwenyeez Mungu awalaze pema peponi - Amen. Inasikitisha sana na kutilisha uchungu, maana ni uzembe wa wale madereva wa mabasi waliokuwa wakiwahi huko wendako na ku-overtake pasina kuzingatia kanuni, sheria na taratibu za ku-overtake, khatma yake kusababisha vifo vya watu chungu nzima wasiokuwa na hatia yeyote. Japokuwa ajali haina kinga wala ahadi haiepukiki, lakini siku zoter 'prevention is better than cure'. Na muwe pole ndugu, jamaa na marafiki wote wa marehemu wote waliokumbwa na ajali hiyo. Mola awajaaliye subira na faraja katika kipingi hiki kigumu cha kuondokewa na awajaaliye takhfifu kwa baraka zake na kuwaponesha salama wote waliojeruhiwa. In Sha Allah.

    ReplyDelete
  2. Serikali inapaswa kuangalia root cause ya hizi ajali na kuzifanyia kazi.Miongoni mwa sababu kubwa zinazo changia ajali hizi ni pamoja na;
    1.Kutokuwa na madereva makini.Kutokana na Rushwa iliyo kithiri katika process ya upataji leseni za udereva,imeondikea kuwa na madereva wengi wasiokuwa kuwa makini na kwa ujumla sio maderva competent,ndio maana unaona ajali nyingi nizakizembe tu.
    2.Ulevi wa madereva.Hili ni janga kubwa sana nchini ambalo vyombo vya usalama hauliangalii kabisa.Mara nyingi wana usalama hungalia issue kama za speed tu,lakini madereva wengi wanaendesha magari wakiwa walevi.
    3.Ubovu wa magari
    4.Speed etc

    ReplyDelete
  3. Wafiwa poleni sana Mungu awatie nguvu ya kuweza kuyamudu mapya haya ya maisha. Mungu awapatie amani ya kujua wapendwa wenu wapo nae mapumxukoni. Sisi tunawombea nguvu yakuweza kuendelea ni mikakati ya maisha huku mkikamilisha mipango ya wapendwa wenu. Mtangulizeni Mungu na faraja itaongezeka. Mwanga wa milele Bwana awaangazie wapendwa wenu. Amen

    ReplyDelete
  4. E Mungu sikiliza kilio cha watu wako. Poleni sana wafiwa. Tunawaombea walioturangulia na wafiwa wote. Duh, Mungu awape majeruhi neema na afya ya kupona na kuweza kuishi kwa amani. Jamani tuunganekupiga picha madereva wabaya tusambaze kwenye mtandao wasipate kazi na kampuni yeyote. Na pia waache kuwa vyombo vya kuua. Tusaideane wanajamii iliwatu waanze kuwajua madereva hawa na mabasi yapi wanaendesha pia mkoa wao. Tukifanya hivi tutaokoa maisha ya wengi zaidi. Mkuu wa blog tunaomba mtoe msaada huu kwa jamii tuwajue hawa wauaji. Maana nadhani kama ajali imekuwa mbaya hivi basi huyu mtu dreva si mara ya kwanza kufanya ajali na sii muoga kufanya ajali nyingine kama bado yu hai. Vile vile ni vizuri.mara kwa mara tukiwajua dereva bora na tuwapatie tuzo kila mkoa mara moja kwa mwaka. Najua ma sponsor tupo wengi. Madereva wabaya wa mikoa yote tuwajue. Makampuni yenye rekodi nzuri za madereva zijulikane na zenye madereva wabaya zijulikane kila wiki. Hii wapendwa itaanza kuokoa maisha ya watu. Tusaidiane wapendwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...