Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Ali li Iddi Siwa katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania Mhe. Eugene Segore Kayihura katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Hongera sana Mhe. Balozi kwa imani aliyonayo Mheshimiwa Rais kwako. Yasini Mfunda
ReplyDelete