Mfanyabiashara Ally Hamidu Ally (kulia) ambaye hivi karibuni ametiwa mbaroni na Idara ya Uhamiaji kwa tuhuma za kuwaingiza nchini kinyemela makomandoo wa Nepali akiwa chini ya ulinzi katika Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaambaada ya kukamatwa eneo la Sinza. Kushoto ni mwanajeshi wa zamani wa Marekani ambaye pia anashikiliwa Uhamiaji
ALLY HAMIDU ALLY ambaye amekiri kufanya kazi hiyo ya kusafirisha binadamu akiwa Ofisi za Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam.
Nivigumu kuamini kuwa such a young guy ndie mhusika kamili nahisi kavaa koti la mtu...
ReplyDeleteyoung people nowadays are very daring usidanganyike...everyone is keen on getting money and lots of money for that matter.Ila ni hatari sana kwa taifa letu
ReplyDelete