Mhe. Balozi Marmo akikabidhi Hati za Utambulisho kwa Rais wa Romania, Mhe. Traian Basescu jijini Bucharest katika Ikulu ya Romania(State House) Septemba 2,  2014. Nchi nyingine anazowakilisha Tanzania ni pamoja na Austria, Bulgaria, Jamhuri ya Czech, Hungary, Poland,Slovakia, Ujerumani, Uswisi na Vatican.
 Mhe. Balozi Marmo  kabla ya kukabidhi Hati za Utambulisho kwa Rais wa Romania, Mhe. Traian Basescu jijini Bucharest katika Ikulu ya Romania(State House) Septemba 2,  2014. 
Mhe. Balozi Marmo  baada ya kukabidhi Hati za Utambulisho kwa Rais wa Romania, Mhe. Traian Basescu jijini Bucharest katika Ikulu ya Romania(State House) Septemba 2,  2014. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...