Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Shaaban Mwinjaka ( wa tatu kutoka
kulia mstari wa kwanza) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Ubalozi wa Uholanzi,
wawakilishi kutoka bandari ya Rotterdam ya uholanzi pamoja na wawakilishi kutoka kampuni ya
BAM ya uholanzi aliokutana leo mchana ofisini kwake kujadiliana kuhusu kuwekeza katika
bandari ya Mtwara kwa mkopo wa bei nafuu. Kulia kwa Dk. Mwinjaka ni Balozi wa Uholanzi
Nchini, Mr. Jaap FREDERICKS.
(Picha na kitengo cha mawasiliano Serikalini-Uchukuzi)
Home
Unlabelled
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi akutana na Ujumbe wa Ubalozi wa Uholanzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...