Mahojiano na dadangu Fina Mango katika kipindi chake cha Makutano Show kinachorushwa na kituo cha redio cha Magic FM, Dar es Salaam. Masahihisho: Katika mhojiano hayo nimeeleza kwa makosa kuwa Great Britain inaundwa na England yenye mji mkuu London, Wales yenye mji mkuu Cardiff, na GLASGOW yenye mji mkuu Edinburgh. Niliitaja Galsgow kimakosa badala ya Scotland.
Kadhalika, katika mahojiano hayo kuna sehemu nimesema kimakosa kwamba moja ya ugumu ulioikabili kambi ya NO ni jinsi ya kuitetea hoja ya mafuta. Nililenga kusema 'kambi ya YES na sio NO.

Home
Unlabelled
Mahojiano na kipindi cha Makutano Show kuhusu kura ya uhuru wa Uskochina somo kwa Muungano wetu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kwako mhusika: umenifurahisha mno kwa kukiri makosa uliyoyafanya katika kipindi cha Mahojiano na Fina Mango! Walio wengi huwa wanavurunda na kumezea tu mauzembe-zembe yao huku wakiacha lipite tu - eti, watu hawawezi kuipata! Hongera sana kwa kazi nzuri. Kila la heri.
ReplyDeleteFanya utafiti kabla hujazungumza, usijifanye kujua kumbe mtupu.
ReplyDelete