Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Scania Tanzania, Anders Friberg(wa pili
kulia),Meneja mauzo wa Scania Tanzani, Steve Miller(wa pili kushoto)
na Afisa Mauzo wa Scania Tanzania, Kisali Nnyari wakiwa wamebeba
vikombe vitakavyotolewa kama zawadi wakati wa fainali za kumtafuta
dereva bora wa mwaka wa kuendesha Scania katika shindano
litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu viwanja vya Tanganyika
Perkasi jijin Dar es Salaam.Kulia ni Afisa Masoko wa Scania Tanzania,
Margaret Legga.
Afisa Mauzo wa Scania Tanzania, Kisali Nnyari(kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza fainali za kumtafuta dereva wa mwaka wa Scania katika shindano litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu viwanja vya Tanganyika Perkasi jijin Dar es Salaam.Kutoka kulia ni Afisa Masoko wa Scania Tanzania, Margeret Legga, Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Scania Tanzania, Anders Friberg na Meneja mauzo wa Scania Tanzani, Steve Miller.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...