

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kila la kheri
ReplyDeleteBora umekuwa muwazi kuwa hukushawishiwa au kusukumwa na mtu yoyote.Sio wengine wanatumia migongo ya watu anonymous kwa kusema uamuzi wao to vie for the position ni kutokana na ushawishi wa watu..
ReplyDeleteTanzania, kila mtu anataka kuwa Rais, akipewa kura maisha ni yale yale hakuna mabadiliko. Umaskini zaidi tutaona 2015, nabii Musa ajaye
ReplyDeleteAliyeweza Urais tu ni Mwl Nyerere, ambaye hakujali maslahi yake alijali maslahi ya watu. Hata nyumba tu ya maana hakuwa nayo. Lini tutampata kiongozi wa hivyo nyakati hizi? taabu kweli kweli
ReplyDeletein ur dreams mate.
ReplyDelete