1Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya serikali za Mitaa na Mbunge wa jimbo la Nzega Dr. Khamis Kigwangallah akitangaza nia yake ya kugombea urais waJamhuri ya Muungano ya Tanzania wakati alipokutana na waandishi wa habari kwenye ambapo amesema hajasukumwa na mtu yeyote ila ni yeye mwenyewe ameamua kwa moyo wake. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. kila la kheri

    ReplyDelete
  2. Bora umekuwa muwazi kuwa hukushawishiwa au kusukumwa na mtu yoyote.Sio wengine wanatumia migongo ya watu anonymous kwa kusema uamuzi wao to vie for the position ni kutokana na ushawishi wa watu..

    ReplyDelete
  3. Tanzania, kila mtu anataka kuwa Rais, akipewa kura maisha ni yale yale hakuna mabadiliko. Umaskini zaidi tutaona 2015, nabii Musa ajaye

    ReplyDelete
  4. Aliyeweza Urais tu ni Mwl Nyerere, ambaye hakujali maslahi yake alijali maslahi ya watu. Hata nyumba tu ya maana hakuwa nayo. Lini tutampata kiongozi wa hivyo nyakati hizi? taabu kweli kweli

    ReplyDelete
  5. in ur dreams mate.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...