Mfanyabiashara  Ally Hamidu Ally (kulia) ambaye hivi karibuni ametiwa mbaroni na Idara ya Uhamiaji kwa tuhuma za  kuwaingiza nchini kinyemela makomandoo wa Nepali akiwa chini ya ulinzi katika Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaambaada ya kukamatwa eneo la Sinza. Kushoto ni mwanajeshi wa zamani wa Marekani ambaye pia anashikiliwa Uhamiaji
ALLY HAMIDU ALLY ambaye amekiri kufanya kazi hiyo ya kusafirisha binadamu akiwa Ofisi za Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Nivigumu kuamini kuwa such a young guy ndie mhusika kamili nahisi kavaa koti la mtu...

    ReplyDelete
  2. young people nowadays are very daring usidanganyike...everyone is keen on getting money and lots of money for that matter.Ila ni hatari sana kwa taifa letu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...