Stuttgart,Ujerumani,
Usiku wa Jumamosi ya Tarehe 30.Augost 2014, majira ya saa 10 alfajiri
Mwanamuziki nyota wa Bongo Flaver Nasib Abdul aka Diamond Platnumz alijikuta katika hali ya hatari hadi kuokolewa na Polisi mjini Stuttgart,Ujerumani,baada ya washabiki waliokuwa na hasira kuchoka kusubiri show.
Washabiki hao waliokuwa wamelipa ticket euro 25 kwa kiingilio waliahidiwa kuwa show ingeanza saa 4.00 usiku,lakini walijikuta wakisubiri hadi majira ya saa 10 usiku au alfajiri ndipo mwanamuziki Diamond alipoletwa jukwaani na promota wake Mr.Awin Williams Akipomiemie raia wa Nigeria anajiita kama Britts Event.
Hapo ndipo washabiki hao walipoona kuwa hawakutendewa haki walianza kurusha chupa na kutaka kumvamia mwanamuziki Diamond na promota wake,
Kilichowakera zaidi washabiki ni pamoja na vyombo vibovu vilivyofungwa katika ukumbi huo kitu ambacho kiliwafanya washabiki kuvunja hadi vyombo vya muziki
ma-Djs walishambuliwa na wapo Hosptalini kwa sasa.
Moja wa Djs hao alipoteza Lap top yake ,mwanadada DJ Flor alipatwa shock mstuko wa moyo na kukimbizwa hosptali, washabiki hao walimpa kipigo DJ Drazee naye yupo hoi hospatal.
Polisi nchini Ujerumani wamesema tukio hili la aibu halijawahi kutokea,kwani msanii kuchelewa kufika jukwaani kwa ujerumani ni kitu cha hatari sana,kwani washabiki wa ujerumani wanaheshimu sana muda wao.
mpaka sasa polisi wanamsaka mwandaaji wa onyesho hilo na wamesema kuwa
wanachunguza thamani ya hasara iliyosababishwa na ghasia hizo na pia itamfungulia mashataka promoter huyo raia wa Nigeria,ambaye pia anachunguzwa kwa kusemekana anajihusisha na mtandao fulani wa biashara.
Hivi ndivyo ukumbi huo ulivyokuwqa baada ya tafrani hiyo.
Magazeti ya Stuttgart; yameandika "Washabiki wana hasira nawe DIAMOND" link:
Ni nini hasa shida ya ku keep time?
ReplyDeleteDiamond ulizoea mchekea wa TZ...Wenzetu wana mipangilio ya maisha hawakurupuki...Nawewe unapaswa kuwa mstaarabu. Umetembelea nchi nyingi za ulaya inbidi ubadirike.. Tabia za kwenu bongo ukizipeleka kwa watasha utakisikia.
ReplyDeleteUkienda Rome ishi kama wati wa Rome
Naona dogo anapeleka mambo yake ya Tandale. Nadhani kapata fundisho. Na, tunasubiri uchunguzi wa polisi kuhusu promota wake kuwa anajihusisha na biashara ya sembe.
ReplyDeleteTime is money. Take it very serious.
ReplyDeleteJamani Wewe Diamond sasa ni mwanamuziki mkubwa angalia sana mapromota unaonfanya nao kazi. Hawa mapopo wengi ni matapeli tu. Pole sana, jina limeshachafuliwa.
ReplyDeleteDiamond tafuta promotor wa Tanzania. Chezea mapopo kama hawatakuaharibia biashara.
ReplyDeleteAnajifanya shooo off sana wangemwacja apigwe barabara angetia akili
ReplyDeleteSafi sana fundisho la mda lichukuriwe seriously hasa hawa wanyanje wanava nguo za kubana na viatu vyaajabu wanajifanya mapromo zuga wako wengi.I'm dj sikupenda walicho wafanyia djs they have nothing to do with this show
ReplyDeletePlease fire your promoter.
ReplyDeleteDiamond, liwe fundisho kwako. Si ulujua saa fulani unahitajika sehemu fulani, ulipitiwaje hivyo? Saa kumi ? Wewe siyo bongo star ni zaidi ya hapo. Mastaa wengi huanguka kwa sababu ya makosa. Tizama usijeingia ktk huo mkumbo. When Rome act like the Romans.
ReplyDeleteWatandale ulaya aiweze vipi, brash angalau o level bwana
ReplyDelete