Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia (Managing Director and Chief Operating Officer), Sri Mulyani Indrawati,baada ya mazungumzo kati yake na ujumbe wa Benki hiyo mjini Dodoma Septemba 11, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia (Managing Director and Chief Operating Officer), Sri Mulyani Indrawati (kulia) baada ya mazungumzo rasmi kati yake na ujumbe wa Benki hiyo mjini Dodoma Septemba 11, 2014. Kushoto ni Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania ,Uganda na Burundi Phillipe Dongier na wapili kulia ni meneja wa mpango wa kuondoa umaskini na masuala ya uchumi Barani Afrika wa Benki hiyo, Albert Zeufack.
.jpg)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na ujumbe kutoka Benki ya Dunia baada ya kuzungumza nao mjini Dodoma Septemba 11, 2014. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu (Managing Director and Chief Operating Officer), Sri Mulyani Indrawati, Albert Zeufack na Jan Wallliser. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...