Home
Unlabelled
ankal akila quality time na bintiye
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Anklal huyo nintiyo au mjukuu?
ReplyDeletekwani wewe ulitakaje acha ushamba awe mtoto au mjukuu inakuhusu nyooooooooooooooooooo!
ReplyDeleteMaisha yamekuwa ya haraka haraka sana, wengine hutoka nyumbani watoto wamelala na kurudi wamelala. Haya mambo tulikuwa tukiyasikia ughaibuni lakini siku hizi yamekuja kwetu. Ni muhimu kwa wazazi kutafuta pesa kwa ajili ya kujikimu lakini wakati huo huo kupata muda japo kidogo kuwa na familia hasa watoto wanaokuwa.
ReplyDeleteGreat role model Ankal! Shukran and Enjoy! Nakubaliana sana na mdau anayeelezea maisha ya haraka haraka siku hizi. Sharti tutafute muda wa quality time na familia. Tks Ankal!
ReplyDeleteHaya Ankal, Jilipeni huyoooo!!
ReplyDeletehakuna cha maisha ya haraka haraka, watu wakitoka kazini wanaingia bar mpaka usiku au kwenye michepuo. Muda upo tutumie vizuri kuwa na familia zetu.
ReplyDelete