Ratiba inaporuhusu kupata kamuda ka kupumua Ankal hupiga makubazi na kula quality time na familia yake. Hapo ni ufukweni akicheza na bintiye Sellah katika kusherehekea sikukuu ya Iddi.
Wewe je? Unakumbuka kuwa na familia wakati wa mapumziko? 
Ni muhimu, usisahau hilo....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Anklal huyo nintiyo au mjukuu?

    ReplyDelete
  2. kwani wewe ulitakaje acha ushamba awe mtoto au mjukuu inakuhusu nyooooooooooooooooooo!

    ReplyDelete
  3. Maisha yamekuwa ya haraka haraka sana, wengine hutoka nyumbani watoto wamelala na kurudi wamelala. Haya mambo tulikuwa tukiyasikia ughaibuni lakini siku hizi yamekuja kwetu. Ni muhimu kwa wazazi kutafuta pesa kwa ajili ya kujikimu lakini wakati huo huo kupata muda japo kidogo kuwa na familia hasa watoto wanaokuwa.

    ReplyDelete
  4. Great role model Ankal! Shukran and Enjoy! Nakubaliana sana na mdau anayeelezea maisha ya haraka haraka siku hizi. Sharti tutafute muda wa quality time na familia. Tks Ankal!

    ReplyDelete
  5. Haya Ankal, Jilipeni huyoooo!!

    ReplyDelete
  6. hakuna cha maisha ya haraka haraka, watu wakitoka kazini wanaingia bar mpaka usiku au kwenye michepuo. Muda upo tutumie vizuri kuwa na familia zetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...