Balozi wa Shina la CCM namba 1, jijini Tanga, Kombo Mbwana akiwa haamini macho yake alipokuwa akimlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana aliyemtembelea balozi huo nyumbani kwake ambapo watu waliokuwa kwenye msafara walipata mlo wa mchana juzi. Kinana amehitimisha ziara ya siku 11 mkoani Tanga, ambapo alisafiri zaidi ya Km 3000, kukagua miradi 72 na kuhutubia mikutano 76 katika majimbo yote 11 ya mkoa huo.
 Kinana akizungumza na wananchama wa CCM nyumbani kwa Balozi Kombo Mbwana jijini Tanga.Kombo Mbwana amekuwa balozi kwa miaka 50.
Balozi Kombo akimzawadia Kinana kanzu, Balakashia na Mswala.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...