Mkurugenzi wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Dk Clemence Tesha (kushoto) akiwaapisha wahitimu wa shahada ya kwanza  ya Bodi ya Ununuzi na Ugavi, kwenye sherehe za mahafali ya tano yaliyofanyika kwenye viwanja vya bodi hiyo, Dar es Salaam
 Wahitimu wa Mahafali ya tano ya Bodi ya Ununuzi na Ugavi (PSPTB) wakionekana wenye furaha muda mfupi baada ya kutunukiwa vyeti, stashahada na shahada za ununuzi na ugavi kwenye sherehe za mahafali ya tano yaliyofanyika kwenye viwanja vya bodi hiyo, Dar es Salaam
 Wahitimu wa Mahafali ya tano ya Bodi ya Ununuzi na Ugavi (PSPTB) wakila kiapo cha utii na uaminifu muda mfupi baada ya kutunukiwa vyeti, stashahada na shahada za ununuzi na ugavi kwenye sherehe za mahafali ya tano yaliyofanyika kwenye viwanja vya bodi hiyo, Dar es Salaam
 Mwenyekiti wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Sr. Dk Hellen Bandiho, akizungumza na wahitimu mbalimbali wa vyeti, stashahada na shahada za ununuzi na ugavi kwenye sherehe za mahafali ya tano yaliyofanyika kwenye viwanja vya bodi hiyo, Dar es Salaam, katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dorothy Mwanyika, na Mkurugenzi wa Bodi hiyo, Dk Clemence Tesha
Wahitimu wa Mahafali ya tano ya Bodi ya Ununuzi na Ugavi (PSPTB) wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali kwenye sherehe za mahafali ya tano yaliyofanyika kwenye viwanja vya bodi hiyo, Dar es Salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Nitoe shukrani zangu kwa waandaji wa mahafali ya Bodi Ya Wataalam Wa Ununu na Ugavi kwa namna ya kipekee kabisa jinsi walivyoandaa sherehe za mwaka huu,isiwe mwisho uwe ni mwendelezo mzuri pia ktk kusimamia fani hii ya kutupatia wataalamu bora wa manunuzi ya Umma kwa jamii yetu.
    Isack Mrema!

    ReplyDelete
  2. Pongezi kwa Bodi ya Wataalam Wa Ununuzi na Ugavi(PSPTB) kwa namna ya kipekee kabisa jinsi walivyoyafanya mahafali ya mwaka huu kuwa ni kipekee. Zaidi ni pongezi kwa kazi nzuri ya kutuzalishia Wataalam wenye maadili ktk fani hii ya manunuzi. Changamoto kwa serikali kuisaidia Taasisi hii ili kuongeza tija zaidi maana PSPTB inaisaidia sana serikali kuwapatia wataalam wenye maadili ktk sekta hii adimu ktk manunuzi ya Umma!
    Isack Mrema

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...