Mkurugenzi wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi
(PSPTB), Dk Clemence Tesha (kushoto) akiwaapisha wahitimu wa shahada ya
kwanza ya Bodi ya Ununuzi na Ugavi,
kwenye sherehe za mahafali ya tano yaliyofanyika kwenye viwanja vya bodi hiyo,
Dar es Salaam
Wahitimu wa Mahafali ya tano ya Bodi ya
Ununuzi na Ugavi (PSPTB) wakionekana wenye furaha muda mfupi baada ya kutunukiwa
vyeti, stashahada na shahada za ununuzi na ugavi kwenye sherehe za mahafali ya
tano yaliyofanyika kwenye viwanja vya bodi hiyo, Dar es Salaam
Wahitimu wa Mahafali ya tano ya Bodi ya
Ununuzi na Ugavi (PSPTB) wakila kiapo cha utii na uaminifu muda mfupi baada ya
kutunukiwa vyeti, stashahada na shahada za ununuzi na ugavi kwenye sherehe za
mahafali ya tano yaliyofanyika kwenye viwanja vya bodi hiyo, Dar es Salaam
Mwenyekiti
wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Sr. Dk Hellen Bandiho, akizungumza na
wahitimu mbalimbali wa vyeti, stashahada na shahada za ununuzi na ugavi kwenye
sherehe za mahafali ya tano yaliyofanyika kwenye viwanja vya bodi hiyo, Dar es
Salaam, katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dorothy Mwanyika, na
Mkurugenzi wa Bodi hiyo, Dk Clemence Tesha
Wahitimu
wa Mahafali ya tano ya Bodi ya Ununuzi na Ugavi (PSPTB) wakiwa kwenye picha ya
pamoja na viongozi mbalimbali kwenye sherehe za mahafali ya tano yaliyofanyika
kwenye viwanja vya bodi hiyo, Dar es Salaam
Nitoe shukrani zangu kwa waandaji wa mahafali ya Bodi Ya Wataalam Wa Ununu na Ugavi kwa namna ya kipekee kabisa jinsi walivyoandaa sherehe za mwaka huu,isiwe mwisho uwe ni mwendelezo mzuri pia ktk kusimamia fani hii ya kutupatia wataalamu bora wa manunuzi ya Umma kwa jamii yetu.
ReplyDeleteIsack Mrema!
Pongezi kwa Bodi ya Wataalam Wa Ununuzi na Ugavi(PSPTB) kwa namna ya kipekee kabisa jinsi walivyoyafanya mahafali ya mwaka huu kuwa ni kipekee. Zaidi ni pongezi kwa kazi nzuri ya kutuzalishia Wataalam wenye maadili ktk fani hii ya manunuzi. Changamoto kwa serikali kuisaidia Taasisi hii ili kuongeza tija zaidi maana PSPTB inaisaidia sana serikali kuwapatia wataalam wenye maadili ktk sekta hii adimu ktk manunuzi ya Umma!
ReplyDeleteIsack Mrema