Redio Wüste Welle ni redio ya kijamii iliyopo kwenye mji wa Tübingen nchini Ujerumani ambacho kimekuwa kikijihusisha na shughuli za kijamii ikiwemo kutoa mafunzo ya vitu mbalimbali vinavyohusiana na taaluma ya uandishi wa habari. Mwanalibeneke Edwin Moshi alikuwa ni mmoja wapo kati ya waliopata hiyo fursa Mbali na shughuli zake za utangazaji wa redio pia ni mmiliki wa mtandao wa kijamii wa EDDY BLOG
Home
Unlabelled
Mwanalibeneke edwin moshi atembelea redio ya kijamii iliyopo kwenye mji wa Tübingen, Ujerumani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...