Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni inampa salam za heri ya siku ya kuzaliwa Rais Dr. Jakaya Kikwete,
bendi hiyo yenye makao kule ujerumani inamtakia kila la heri,afya bora na maisha marefu Mheshimiwa Rais Dr.Jakaya Kikwete ambaye pia Amri jeshi mkuu.
Happy Birth day Mhe.Rais J.K.
Home
Unlabelled
NGOMA AFRICA BAND YATOA SALAM ZA HERI YA SIKU YA KUZALIWA RAIS DR. JAKAYA KIKWETE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...