Mwenyekiti wa African Stars Entertainment (ASET) Baraka Msiilwa wa Dar es salaam anasikitika kutangaza kifo cha mdogo wake Bi Furaha Ramadhani Baraka (pichani akiwa na mdogo wake Omari Baraka), kilichotokea wikiendi hii mjini Liege,Ubelgiji.

 Mipango inafanywa kuurejesha mwili 
wa marehemu nyumbani kwa mazishi. 
Habari ziwafikie ndugu, jamaa, majirani na marafiki popote pale walipo.  Mola na aiweka roho ya marehemu mahali pema peponi
- Amina

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. InnaLlillah wa Illahi Rajeoon. RIP my dearest wifi, Best Shangazi of my Children. I will always mourn for you.Poleni wanangu wooote.

    ReplyDelete
  2. Innalillah waijna rajuun....mwenyezi mungu amjaalie amfanyie wepesi sana katika safari yake hii na amsamehe makosa yake ..amin na wafiwa poleni sana kwa msiba huu mzito kwenu allah awape subra amin

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...